34397Nombre de vues
60Évaluation

Filamu hii yaonyesha ukuzaji wa Karandile hapa nchini .Yaweza kutumiwa kwa kufundisha wakulima jinsi wanaweza kutengeneza miche mizuri ya Karandile.Imedhaminiwa na mradi wa PSDA. Mradi wa serikali ya Kenya kwa ushirikiano na serikali ya Ujerumani.